Muziki

NYINGINE KUTOKA SHUA MEDIA PRODUCTION

3:13:00 PM INJILILEO BLOG 0 Comments

Ni wimbo andikwa na Abishua Mganga na kutengenezwa muziki kwa ushirikiano wa karibu na Prod. GS, baadae sauti iliingizwa na Dan muimbaji wa Soul Brothers, mwisho video imefanywa na timu nzima ya SHUA MEDIA PRODUCTION chini ya muongozaji Shua Mapicha kwa kumtumia MC Manyama katika Video.
Kwa habari zaidi tembelea www.injilileo.blogspot.com


You Might Also Like

0 comments: