Harusi

OUR WEDDING DAY: MAJATA + OLIVA

4:12:00 AM INJILILEO BLOG 0 Comments

Timu ya ShuaMapicha ilipata nafasi ya kuweka kumbukumbu ya familia mpya kati ya Bwana Majata na Bi. Oliva...
Timu ilisafiri na kuwafuata maharusi hawa hadi mji kasoro bahari Morogoro, Turiani na kushirki nao hiki hapa chini...
Maharusi wakifurahia siku yao mara baada ya kuunganishwa
Baba wa Bwana Harusi, akiendelea kupokea wageni
Mtu na wifi yake aisee
Ya kwanza na hii, ya pili baadae
 

You Might Also Like

0 comments: