Showing posts with label Kumuaga binti. Show all posts

USIKU WA Bi. LEDINA 22/06/2016

Bi. Ledina akiwa Salon tayari kwa maandalizi ya Usiku wake
Hapo vipi? Twende sawaaaa
Kama msindikizaji kanoga hivi, vipi mwenye tukio?
Shangazi akitoa utambulisho wa kndi la wakwe alioongozana nao
Babu akiweka neno kwa mjukuu