ISACK + LEDINA WEDDING...


USIKU WA Bi. LEDINA 22/06/2016

Bi. Ledina akiwa Salon tayari kwa maandalizi ya Usiku wake
Hapo vipi? Twende sawaaaa
Kama msindikizaji kanoga hivi, vipi mwenye tukio?
Shangazi akitoa utambulisho wa kndi la wakwe alioongozana nao
Babu akiweka neno kwa mjukuu

WALIOKAMATWA MBELE YA KAMERA YA SHUAMAPICHA....

Wanamuita Tido The director
The Super Model Nancy
Mrembo flani hivi Amaizing

MAJATA + OLIVA WEDDING

Event: Wedding Ceremony, MAJATA + OLIVA
Date: June 1, 2016
Venue: Turiani, Morogoro, Tanzania
Production: Shua Media Production


OUR WEDDING DAY: MAJATA + OLIVA

Timu ya ShuaMapicha ilipata nafasi ya kuweka kumbukumbu ya familia mpya kati ya Bwana Majata na Bi. Oliva...
Timu ilisafiri na kuwafuata maharusi hawa hadi mji kasoro bahari Morogoro, Turiani na kushirki nao hiki hapa chini...
Maharusi wakifurahia siku yao mara baada ya kuunganishwa
Baba wa Bwana Harusi, akiendelea kupokea wageni
Mtu na wifi yake aisee
Ya kwanza na hii, ya pili baadae